WorkspaceTools
STAY IN THE CONVERSATION

Your activity

Your next conversation starts here.

Replies, mentions, followers and reactions will appear here as they happen.

Explore the community
Tools

Invoice & Quotation Studio

Backup & Zaidi
Tuma WhatsApp
NYARAKA:
SARAFU:Jumla: TZS 450,000

1. Orodha ya Bidhaa au Huduma (Line Items)

Jaza bidhaa kwenye jedwali fupi hapa chini; karatasi ya A4 kulia inajipanga papo hapo.

TZS 250,000
TZS 80,000
TZS 120,000
Bonyeza sehemu yoyote kwenye A4 kuhariri:PROFORMA INVOICE #INV-2026-001

KILIMANJARO DIGITAL & TRADING CO.

Vifaa vya Ofisini, Huduma za Kidijitali & Usambazaji

Sinza Mori, Dar es Salaam, Tanzania

+255 712 345 678 · mauzo@kilimanjarotrading.co.tz

TIN: 142-889-301 · VRN: 40-019283-Z

PROFORMA INVOICE
#INV-2026-001
Tarehe: 2026-10-23
Due Date: 2026-10-30
KWA MTEJA (BILL TO):
Bw. Juma M. Kaseja
Bongo Retail & Logistics Ltd
Kariakoo / Posta, Dar es Salaam
Simu: 0754 111 222
#Maelezo ya Bidhaa / HudumaIdadiBei (TZS)Jumla (TZS)
1Ubunifu na Utengenezaji wa Tovuti ya Biashara (WhatsApp Order Catalog)1 HudumaTZS 250,000TZS 250,000
2Usajili wa Google Business Profile (Google Maps SEO) & Mafunzo1 HudumaTZS 80,000TZS 80,000
3Usimamizi wa Maudhui na Matangazo ya Biashara (Mwezi 1)1 MweziTZS 120,000TZS 120,000
Jumla Ndogo (Subtotal):TZS 450,000
JUMLA KUU (TOTAL):TZS 450,000
MAELEKEZO YA MALIPO (PAYMENT DETAILS):
M-Pesa (Vodacom Lipa Namba): 5566778 — KILIMANJARO DIGITAL TRADING
Benki (CRDB Bank): Akaunti 0150123456789 — KILIMANJARO DIGITAL & TRADING CO.
Maelezo & Masharti: Malipo ya awali ya 50% yanahitajika ili kuanza kazi. Tafadhali tuma uthibitisho wa muamala kupitia WhatsApp baada ya kufanya malipo. Asante kwa kufanya biashara nasi!
Mkurugenzi wa Mauzo
Kilimanjaro Digital & Trading Co.
KILIMANJARO DIGITAL & TRADING CO.
OFFICIAL STAMP · DAR ES SALAAM

MASWALI YA WAFANYABIASHARA (FAQ)

Mwongozo wa Proforma Invoice, Quotation & Risiti

Jinsi ya kutumia nyaraka za malipo, VAT 18%, na Lipa Namba kukuza uaminifu wa biashara yako.

Je, naweza kutengeneza Proforma Invoice, Quotation na Risiti (Receipt) kwenye mtambo huuhuu?

Ndiyo! Unaweza kubadilisha aina ya nyaraka kwa kubonyeza kitufe kimoja kati ya PROFORMA INVOICE (kwa ajili ya kudai malipo kabla ya kutoa mzigo/huduma), INVOICE (baada ya kukabidhi kazi), QUOTATION (makadirio ya bei), au RECEIPT (uthibitisho kuwa mteja ameshalipa).

Je, naweza kuweka Lipa Namba ya M-Pesa, Tigo Pesa (Mixx by Yas) au Airtel Money pamoja na akaunti ya benki?

Ndiyo! Mtambo huu umeundwa mahsusi kwa wafanyabiashara na freelancers wa Tanzania na Afrika Mashariki: una sehemu maalum ya kuweka Lipa Namba yako na akaunti ya benki, na taarifa za biashara yako zinahifadhiwa kwenye kifaa chako ili usiziandike upya kila siku.

Kitufe cha 'Tuma Muhtasari WhatsApp' kinafanyaje kazi?

Ukibonyeza kitufe cha WhatsApp, mfumo unakokotoa jumla ya bidhaa zote, punguzo, na VAT (kama umeiwasha), kisha unafungua WhatsApp kwenda kwa namba ya mteja wako ikiwa na ujumbe msafi wa oda na maelekezo ya malipo tayari kwa kutuma!