WorkspaceTools
STAY IN THE CONVERSATION

Your activity

Your next conversation starts here.

Replies, mentions, followers and reactions will appear here as they happen.

Explore the community

FREE AI & BUSINESS TOOLS · ZANA ZA VITENDO BURE

Tengeneza nyaraka za kitaalamu
ndani ya dakika 3.

Zana za bure zilizoundwa mahsusi kwa watafuta ajira, wahitimu wa vyuo, wafanyabiashara, na freelancers Tanzania na Afrika Mashariki. Hakuna malipo, hakuna watermark, na zinafanya kazi moja kwa moja kwenye simu au kompyuta yako.

ATS CV & COVER LETTER BUILDER

Mtambo wa Kutengeneza CV ya Kisasa (ATS CV Generator)

Tengeneza CV safi ya ukurasa wa A4 inayopita kwenye mifumo ya ATS ya makampuni, benki, na NGOs — ikiwa na violezo maalum kwa Wahitimu Wapya (Field Attachment) na Wazoefu wa Kazi (Experienced).

  • Violezo 2: Fresh Graduate (Field Practical) & Experienced Professional
  • Upakuaji wa PDF safi ya A4 bila watermark yoyote
  • Kitufe cha “Boresha na AI” kinachounda Prompt ya kuboresha CV na Cover Letter kwenye ChatGPT/Claude
  • Hifadhi ya moja kwa moja kwenye kifaa chako (Auto-Save)
PROFORMA, INVOICE & RECEIPT BUILDER

Mtambo wa Kutengeneza Invoice, Proforma, Quotation & Risiti

Andaa Proforma Invoice, Tax Invoice, Quotation, au Risiti ya Malipo kwa TZS, KES, UGX au USD ndani ya dakika 1 — ikiwa na maelekezo ya Lipa Namba (M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel) na akaunti ya benki.

  • Badilisha kati ya Proforma Invoice, Invoice, Quotation na Receipt kwa sekunde 1
  • Chaguo la kuwasha au kuzima VAT (18%) na Punguzo (Discount)
  • Kitufe cha “Tuma Muhtasari WhatsApp” kinachotuma mchanganuo wa malipo moja kwa moja kwa mteja
  • Pakua PDF safi ya A4 + Prompt ya AI ya kukumbusha malipo kwa heshima
NO-EXPIRY QR CODE & WHATSAPP LINK STUDIO

Mtambo wa QR Code Zisizoisha Muda Wake & WhatsApp Link Cards

Tengeneza 100% Static QR Code ambazo hazizimwi baada ya siku 14 — kwa ajili ya WhatsApp Click-to-Chat (wa.me), Wi-Fi ya Kujiunga Moja kwa Moja, Digital Business Card (vCard), na Kadi za Mezani zenye Lipa Namba.

  • Link fupi ya wa.me yenye ujumbe ulioandikwa tayari kwa Instagram & TikTok Bio
  • QR ya Wi-Fi (wageni wana-scan na kujiunga bila kuandika password)
  • Digital Business Card (vCard 3.0) inayohifadhi namba moja kwa moja kwenye simu
  • Pakua HD PNG, Vector SVG, au Kadi ya A4 PDF yenye Lipa Namba yako

Jifunze Zaidi Kwenye Maktaba Yetu ya Kozi za Bure (/learn)

Angalia Kozi Zote 8

Unganisha zana hizi na kozi zetu za bure: jifunze jinsi ya kufaulu usaili kwenye AI kwa Watafuta Ajira, kufunga mauzo kwenye AI kwa Wafanyabiashara, na kutengeneza tovuti za biashara kwenye Kutengeneza Websites kwa AI.