WorkspaceWorkspace
STAY IN THE CONVERSATION

Your activity

Your next conversation starts here.

Replies, mentions, followers and reactions will appear here as they happen.

Explore the community
INVOICE · PROFORMA

Proforma Invoice ya Biashara

Proforma inayofanya mteja alipe bila kuuliza tena. Proforma nzuri inaeleza bidhaa, bei, VAT, muda wa malipo na njia za malipo kwa uwazi. Kiolezo hiki kinakupa muundo huo tayari — unabonyeza na kupakua.

Kinachomo ndani ya kiolezo

  • VAT 18% na punguzo vinawaka/kuzimwa kwa sekunde
  • Lipa Namba (M-Pesa, Mixx, Airtel) na akaunti ya benki
  • Tuma muhtasari wa malipo moja kwa moja WhatsApp
  • Pakua PDF au shiriki link ya invoice kwa mteja

Jinsi ya kuitumia (dakika 3)

Jaza biashara na mteja

Jina la biashara, TIN, mteja na tarehe — kila kitu kiko sehemu moja.

Ongeza bidhaa

Weka idadi, kipimo na bei; jumla na VAT vinahesabiwa papo hapo.

Tuma kwa mteja

Pakua PDF au tuma link ya invoice kupitia WhatsApp au barua pepe.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Proforma ni sawa na invoice?

Hapana. Proforma ni pendekezo la malipo kabla ya huduma au bidhaa; invoice ni malipo halisi. Unaweza kubadilisha aina ya nyaraka kwa sekunde moja bila kuandika upya.

Je, naweza kuweka VAT na punguzo?

Ndiyo. Washa VAT (18% au kiwango chako) na weka punguzo; jumla, VAT na baki vinahesabiwa moja kwa moja.