NEEMA JOSEPH MWAKASEGE
Business Operations & Digital Strategy Consultant
Mtu aki-scan QR Code hii kwenye kikao au kadi yako ya kazi, simu yake inampa kitufe cha kuhifadhi namba, email na kampuni yako moja kwa moja kwenye Phonebook.
Boresha vichwa vya habari, rangi ya kadi, na ongeza Lipa Namba kama unataka wateja waone QR Code na maelekezo ya malipo kwenye kadi moja ya mezani au ukutani.
BEGIN:VCARD
VERSION:3.0
N:Joseph Mwakasege;Neema;;;
FN:Neema Joseph Mwakasege
ORG:Tanzanit…Baada ya mteja ku-scan QR Code yako na kuweka oda kwenye WhatsApp, unaweza kumtumia Proforma Invoice, Quotation au Risiti rasmi ya PDF kwa sekunde 30.
Business Operations & Digital Strategy Consultant
MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA (FAQ)
Mitandao mingine inazima QR Code yako baada ya siku 14. Mtambo huu unaweka taarifa zako moja kwa moja ndani ya QR Code yenyewe (Direct Static Payload) — hivyo inaendelea kufanya kazi milele.
Mitandao mingi ya QR Code inaweka link ya mzunguko (redirect shortlink) ili ikulazimishe kulipia ada ya kila mwezi baada ya siku 14. Mtambo huu wa SI Centralization unaweka taarifa zako moja kwa moja ndani ya QR Code yenyewe (Direct Static Payload) — hivyo QR Code yako itaendelea kufanya kazi milele bila malipo yoyote!
Ndiyo! Kwenye kichupo cha WhatsApp Link & QR, weka namba yako ya simu na ujumbe wa kuanzia (mfano: 'Habari! Nahitaji kuweka oda...'). Utapata link fupi ya wa.me ya kunakili moja kwa moja kuweka kwenye Instagram/TikTok Bio pamoja na Kadi ya QR ya kuchapisha dukani.
Ndiyo! Simu za Android na iPhone zote zina uwezo wa ku-scan QR Code ya Wi-Fi kupitia kamera ya kawaida na kuunganisha mtandao bila kuandika password, au ku-scan vCard na kuhifadhi jina, simu na email moja kwa moja kwenye Phonebook.