WorkspaceTools
STAY IN THE CONVERSATION

Your activity

Your next conversation starts here.

Replies, mentions, followers and reactions will appear here as they happen.

Explore the community
Tools

QR & Link Studio

Static · No-expiry
Violezo

Taarifa za Mtandao wa Wi-Fi (Scan to Join Wi-Fi)

Wageni au wateja waki-scan QR Code hii kwa kamera ya simu, wanaunganishwa kwenye Wi-Fi moja kwa moja bila kuandika password.

Muonekano wa Kadi ya Kuchapisha, Logo & Lipa Namba

Boresha vichwa vya habari, rangi ya kadi, na ongeza Lipa Namba kama unataka wateja waone QR Code na maelekezo ya malipo kwenye kadi moja ya mezani au ukutani.

Static Payload iliyo ndani ya QR: WIFI:T:WPA;S:Serengeti_Cafe_5G;P:KahawaBora2026;H:false;;
UNGANISHA NA ZANA NYINGINE ZA BIASHARA

Baada ya mteja ku-scan QR Code yako na kuweka oda kwenye WhatsApp, unaweza kumtumia Proforma Invoice, Quotation au Risiti rasmi ya PDF kwa sekunde 30.

Kadi ya QR · tayari kuchapishaSI Brand Blue · dots
SCAN KUUNGANISHA WI-FI

KARIBU KWENYE WI-FI YETU YA BURE

Fungua Kamera au QR Scanner kwenye simu yako kujiunga na mtandao moja kwa moja

QR Code for KARIBU KWENYE WI-FI YETU YA BUREFungua kamera ya simu ku-scan
Wi-Fi Serengeti_Cafe_5G
Password KahawaBora2026

Hakuna haja ya kuandika password kwa mkono — Scan na uunganishwe!

MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA (FAQ)

Jinsi ya kutumia QR Code na WhatsApp Links kukuza mauzo

Mitandao mingine inazima QR Code yako baada ya siku 14. Mtambo huu unaweka taarifa zako moja kwa moja ndani ya QR Code yenyewe (Direct Static Payload) — hivyo inaendelea kufanya kazi milele.

Kwa nini QR Code nyingi za bure mtandaoni huacha kufanya kazi baada ya siku 14, lakini hii haiishi muda wake (No-Expiry)?

Mitandao mingi ya QR Code inaweka link ya mzunguko (redirect shortlink) ili ikulazimishe kulipia ada ya kila mwezi baada ya siku 14. Mtambo huu wa SI Centralization unaweka taarifa zako moja kwa moja ndani ya QR Code yenyewe (Direct Static Payload) — hivyo QR Code yako itaendelea kufanya kazi milele bila malipo yoyote!

Je, naweza kutengeneza link ya WhatsApp yenye ujumbe ulioandikwa tayari (wa.me link) kwa ajili ya Instagram na TikTok Bio?

Ndiyo! Kwenye kichupo cha WhatsApp Link & QR, weka namba yako ya simu na ujumbe wa kuanzia (mfano: 'Habari! Nahitaji kuweka oda...'). Utapata link fupi ya wa.me ya kunakili moja kwa moja kuweka kwenye Instagram/TikTok Bio pamoja na Kadi ya QR ya kuchapisha dukani.

Je, QR Code ya Wi-Fi na Digital Business Card (vCard) zinafanya kazi kwenye simu zote?

Ndiyo! Simu za Android na iPhone zote zina uwezo wa ku-scan QR Code ya Wi-Fi kupitia kamera ya kawaida na kuunganisha mtandao bila kuandika password, au ku-scan vCard na kuhifadhi jina, simu na email moja kwa moja kwenye Phonebook.